Women Empowerment through Sport

UWEZESHAJI WANAWAKE KUPITIA RIADHA

ni mradi wa kujenga uwezo ambao unaleta taasisi 6 pamoja kutoka Bulgaria, Italia, Kenya, Tanzania, Nepali and Ufilipino, kwa nia ya kuendeleza, kujaribu na kusambaza mbinu mpya za kielimu za kuwawezesha mabinti kupitia shughuli za riadha. Ndani ya kipindi cha miezi 24 tutatekeleza mkusanyiko wa hafla za kimichezo kijamii, kitaifa na kimataifa kwa ajili ya mabinti zaidi ya 600.

TAARIFA ZA KARIBUNI KUTOKA BLOGU YETU

Arunima Dahal: From Nepal to Italy!

Katika kikao cha uzinduzi wa mradi wa “Uwezeshaji Wanawake Kupitia Riadha” nchini Sardinia (Italia), Árü Ñeéma Dàhãl amepata nafasi ya kipekee ya kukutana na viongozi wa klabu bingwa ya mpira iliyopo Sassari – FC Sassari Torres Femminile na kuweza kushiriki mchezo mmoja na timu hiyo ya wanawake! Hili pia

Read More

Kikao cha Uzinduzi

Leo tuna furaha kubwa kuzindua mradi wa Uwezeshaji Wanawake Kupitia Riadha nchini Sardinia (Italia). Tukiwa pamoja na viongozi wa Banda la Mabingwa, Asasi ya Mine Vaganti, Shirika la Kijamii la Neema, BTG.Philippines, Go Sports Nepali na Mtandao wa Vijana wa Kubadili Tamaduni Tanzania, tumekusanyika Italia kukutana kwa pamoja kwa mara

Read More

Alama za vidole vyetu katika maisha tunayoyagusa hazipauki kamwe

Kuwa chanzo cha Mabadiliko

LOÏC PEDRAS
Great stuff happening in this space! Good to see women empowerment being taken to the next stage!
Paolo Menescardi
Such an innovative project idea with an exciting flow of events, destinations and partners! Champions Factory proved it’s professionalism and this project is just another proof!