Women Empowerment through Sport
  • NYUMBANI
  • Kuhusu
  • Matukio
    • KIKAO CHA UZINDUZI 2018
    • Mafunzo ya “Riadha | Mei 2018
    • Kivuli kazi “Mpira wa miguu kwa ajili ya kuwezesha” | Agosti 2018
    • Kikao cha viongozi kimataifa | Oktoba 2018
    • Mabadilishano ya Vijana “Nguvu ya Vijana” | FEBRUARI 2019
    • Jukwaa la Uhitimisho “Uwezeshaji Wanawake Kupitia Riadha” | MEI 2019
  • WASHIRIKI
  • TIMU
  • BLOGU
  • Research
  • MAWASILIANO
  • Suahili
    • English
    • Italiano
    • Filipino
    • Nepali
toggle menu
Women Empowerment through SportWomen Empowerment through SportWomen Empowerment through Sport
  • NYUMBANI
  • Kuhusu
  • Matukio
    • KIKAO CHA UZINDUZI 2018
    • Mafunzo ya “Riadha | Mei 2018
    • Kivuli kazi “Mpira wa miguu kwa ajili ya kuwezesha” | Agosti 2018
    • Kikao cha viongozi kimataifa | Oktoba 2018
    • Mabadilishano ya Vijana “Nguvu ya Vijana” | FEBRUARI 2019
    • Jukwaa la Uhitimisho “Uwezeshaji Wanawake Kupitia Riadha” | MEI 2019
  • WASHIRIKI
  • TIMU
  • BLOGU
  • Research
  • MAWASILIANO
  • Suahili
    • English
    • Italiano
    • Filipino
    • Nepali
DONATE
Donate

Mabadilishano ya Vijana “Nguvu ya Vijana” | FEBRUARI 2019

  • Home
  • Mabadilishano ya Vijana “Nguvu ya Vijana” | FEBRUARI 2019

Mabadilishano ya Vijana “Nguvu ya Vijana” ilianzishwa Tanzania na Kituo cha Sanaa Chamwino Februari 2019 ambapo vijana wasiojiweza wanaokumbana na vipingamizi vya kijamii ama ambao walikuwa na matatizo ya kifedha au hawakuwa na elimu, hawakuwa na ajira au mafunzo, yaliyojumuisha kundi zilizoitwa NEETs . Mabadilishano ya Vijana zilitengeneza mitazamo ya vijana na kuwajuza kuhusu umuhimu wa kuwezesha wanawake, washiriki walijifunza tamaduni mpya za kigeni, tabia na mienendo ya maisha, kupitia shughuli za kujifunza na michezo.

Nafasi zifuatazo zilitolewa:

Mechi ya kirafiki na timu ya JMK katika uwanja wa JMK
Jiwezeshe kutambua Kituo cha sanaa cha Chamwino
Uwasilishaji wa onyesho kwenye Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Mechi ya mpira wa miguu dhidi ya Baobab Girls
Mafunzo na watoto wa Fountain Gate Academy U13
Kutembelea Michezo ya Jiji la Dar Es Salaam

Pia, tulitembelea urithi wa Bagamoyo, sehemu maarufu ya historia Tanzania. Na geti walilotokea watumwa kutoka Afrika mashariki.

Tulipata ushirikiano mkubwa kutoka kwa mkurugenzi wa Kituo cha sanaa cha mabingwa (Champion Arts Centre) – Bwana Kedmon Mapana pamoja na meneja wake msaidizi Bwana Tchalewa Ndeki!

40
40
39
39
38
38
37
37
36
36
35
35
34
34
33
33
32
32
31
31
30
30
29
29
28
28
27
27
26
26
25
25
24
24
23
23
22
22
21
21
20
20
19
19
18
18
17
17
16
16
15
15
14
14
13
13
12
12
11
11
10
10
9
9
8
8
7
7
6
6
5
5
4
4
3
3
2
2
1
1

Our partners

Women Empowerment Through Sports Oragnisation

footer-logo

   +359 899 08 08 08

   info@womenempowerment.eu

Women Empowerment through Sport | Made with ❤️ by

  • Privacy
  • Terms
  • Downloads

Would you like to get your organisation involved?

Message us to discuss it!

Contacts